\v 5 Kitabarikiwa kikapu chako na chombo cha kukandia. \v 6 Utabarikiwa utakaporudi ndani, na utabarikiwa utakapotoka nje.