sw_deu_text_reg/10/16.txt

1 line
223 B
Plaintext

\v 16 Kwa hiyo basi wataili govi la mioyo yao, na msiwe wakaidi tena. \v 17 Kwa kuwa Yahwe Mungu wenu, ni Mungu wa miungu na Bwana wa bwana, Mungu mkuu, mwenye nguvu na wakutisha, ambaye hapendelei yeyote na hapokei rushwa-