sw_deu_text_reg/22/22.txt

1 line
200 B
Plaintext

\v 22 Iwapo mwanaume kakutwa analala na mwanamke ambaye ni mke wa mtu, basi wote wanapaswa kufa, mwanaume aliyelala na mwanamke pamoja na mwanamke mwenyewe; nanyi mtakuwa mmeondoa uovu miongoni mwenu.