sw_deu_text_reg/12/26.txt

1 line
314 B
Plaintext

\v 26 Lakini mambo ambayo ni ya Yahwe ambayo mnayo na sadaka za viapo vyenu-mtachukua hizi na kwenda eneo ambalo Yahwe atachagua. \v 27 Hapo mtatoa sadaka ya kuteketezwa, nyama na damu, kwenye madhabahu ya Yahwe Mungu wenu, damu ya dhabihu zenu itamwagwa nje kwenye madhabahu ya Yahwe Mungu wenu, na mtakula nyama.