\v 42 Miti yako yote na matunda ya ardhi yako – nzige watajitwalia. \v 43 Mgeni aliye miongoni mwako atainuka juu zaidi yako juu na juu; wewe mwenyewe utashuka chini na chini. \v 44 Atakukopesha, lakini hautamkopesha; atakuwa kichwa, nawe utakuwa mkia.