\v 15 Hutakiwi kumrudishia bwana mtumwa aliyetoroka kwake. \v 16 Mruhusu aishi pamoja nawe, katika mji wowote atakaochagua. Usimuonee.