\v 12 Unapaswa kutengeneza pindo katika pembe nne za nguo unayoivaa.