\v 3 Kweli, anawapenda watu; watakatifu wake wote wapo mikononi mwako, na walimsujudu mguuni mwake; walipokea maneno yako. \v 4 Musa alituamuru sheria, urithi kwa kusanyiko la Yakobo.