\v 17 Moja ya mipaka mingine pia ni tambarare ya bonde la mto wa Yordani, kutoka Kinnerethi kuelekea bahari ya Arabah(ambayo ni bahari ya Chumvi) kuelekea miteremko wa mlima wa Pisgah mashariki.