\v 3 Utabarikiwa ndani ya mji, na utabarikiwa shambani. \v 4 Matunda ya mwili wako yatabarikiwa, na matunda ya ardhi yako, na matunda ya wanyama wako, ongezeko la ng’ombe wako, na wachanga wa mifugo wako.