\v 5 Kisha pakawa na mfalme Yeshurumu, pale ambapo wakuu wa watu walipokusanyika, makabila yote ya Israeli pamoja. \v 6 Acha Rubeni aishi na asife, lakini wanaume wake wawe wachache.