\v 10 Utoapo mkopo wa aina yoyote kwa jirani yako, hautakiwi kwenda ndani ya nyumba yake kutafuta dhamana yake. \v 11 Utasimama nje, na mwanamume aliyekopa kwako ataleta dhamana yake nje kwako.