\v 18 Nilikuamuru wewe kwa wakati huo, kusema, Yahwe Mungu wako amekupa nchi hii kuimiliki, wewe, wanaume wote wa vita, watapita wakiwa na silaha mbele ya ndugu zako, watu wa Israeli.