diff --git a/02/04.txt b/02/04.txt index 7a84605..c0270d7 100644 --- a/02/04.txt +++ b/02/04.txt @@ -1 +1 @@ -\v 4 Waamuru watu, kusema, "Mtapita kupitia mpaka wa ndugu zenu, wazao wa Esau, ambao wanaishi Seir; watawaogopa ninyi. Kwa hiyo muwe makini \v 5 msipigane nao, kwa kuwa sitawapa nchi yoyote yao, hapana, hakuna hata vya kutosheleza unyao wa mguu kukanyanga, kwa kuwa nimekwisha mpa Esau Mlima wa Seir kama miliki. \ No newline at end of file +\v 4 Waamuru watu k,wa kusema, "Mtapita kupitia mpaka wa ndugu zenu, wazao wa Esau, ambao wanaishi Seir; watawaogopa ninyi. Kwa hivyo muwe makini \v 5 msipigane nao, kwa kuwa sitawapa nchi yoyote yao, hapana, hakuna hata vya kutosheleza unyao wa mguu kukanyanga, kwa kuwa nimekwisha mpa Esau Mlima wa Seir kama miliki. \ No newline at end of file