Tue Sep 20 2022 08:35:15 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-20 08:35:16 +03:00
parent a18a6ecac6
commit 1f55390105
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 18 Unapaswa kufanya waamuzi na maakida ndani ya malango yako ambayo Yahwe Mungu wako anakupa; watachukuliwa toka kila kabila, and watahukumu watu kwa hukumu ya haki. \v 19 Haupaswi kuiondoa haki kwa nguvu; haupaswi kuonesha upendeleo wala kuchukua rushwa, kwa kuwa rushwa upofusha macho ya hekima na kupotosha maneno ya haki. \v 20 Unapaswa kufata baada ya haki, baada ya haki peke yake, ili kwamba uishi na kurithi nchi ambayo Yahwe Mungu wako anakupa.
\v 18 Unapaswa kufanya waamuzi na maakida ndani ya malango yako ambayo Yahwe Mungu wako anakupa; watachukuliwa toka kila kabila, and watahukumu watu kwa hukumu ya haki. \v 19 Haupaswi kuiondoa haki kwa nguvu; haupaswi kuonyesha upendeleo wala kuchukua rushwa, kwa kuwa rushwa upofusha macho ya hekima na kupotosha maneno ya haki. \v 20 Unapaswa kufuata baada ya haki, baada ya haki peke yake, ili kwamba uishi na kurithi nchi ambayo Yahwe Mungu wako anakupa.