sw_deu_text_reg/22/03.txt

1 line
389 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 3 Unapaswa kufanya vivyo hivyo kwa punda wake; unapaswa kufanya vivyo hivyo na vazi lake; unapaswa kufanya vivyo hivyo kwa kila kitu alichopoteza Muisraeli mwenzako, kitu chochote alichopoteza na ukakipata; hautakiwi kujificha. \v 4 Haupaswi kumwona punda wa Muisraeli mwenzako au ngombe wake kaanguka chini barabarani na kujificha dhidi yao; hakika unapaswa kumsaidia kumwinua tena.