sw_deu_text_reg/11/20.txt

1 line
234 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 20 Utayaandika kwenye miimo ya milango ya nyumba zenu na kwenye malango yenu, \v 21 kwamba siku zenu na siku za watoto wenu ziweze kuongezeka katika nchi ambayo Yahwe aliapa kwa mababu zenu kuwapa, maadamu mbingu ziko juu ya ardhi.