sw_deu_text_reg/29/27.txt

1 line
253 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 27 Kwa hiyo hasira ya Yahwe imewaka dhidi ya nchi hii, ili kuleta juu yake laana zote zilizoandikwa katika kitabu hiki. \v 28 Yahwe amewangoa kutoka nchini kwao kwa hasira, kwa ghadhanu, na kwa ghadhabu kali, na kuwatupa katika nchi nyingine, leo.