1 line
216 B
Plaintext
1 line
216 B
Plaintext
|
\v 11 Musa aliwaamuru watu siku hiyo hiyo na kusema, \v 12 “Makabila haya yanapaswa kusimama katika mlima Gerizimu kuwabariki watu baada ya nyinyi kuvuka Yordani; Simeoni, Lawi, Judah, Isakari, Yusufu na Benyamini.
|