sw_deu_text_reg/29/10.txt

1 line
284 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 10 Nyie wote, mnasimama leo, mbele ya Yahwe Mungu wenu; machifu wenu, makabila yenu, wazee wenu, na maafisa wenu wanaume wote wa Israeli, \v 11 watoto wenu, wake zenu, na wageni ambao wamo miongoni wa kambi yenu, kutoka kwa yule anayekata mbao zenu mpaka kwa yule atekaye maji.