sw_dan_text_reg/06/21.txt

1 line
275 B
Plaintext

\v 21 Ndipo Danieli akamwambia mfalme, "Mfalme, uishi milele! \v 22 Mungu wangu amemtuma mjumbe wake na amevifunga vinywa vya simba, na hawajaweza kunidhuru. Kwa kuwa sikuwa na hatia yoyote mbele yake na pia mbele yako, ewe mfalme, na sijakufanyia jambo lolote la kukudhuru."