diff --git a/09/12.txt b/09/12.txt index db59f0d..ffa34c8 100644 --- a/09/12.txt +++ b/09/12.txt @@ -1 +1 @@ -\v 12 Yahweh ameyathibitisha maneno ambayo aliyasema kinyume na sisi na kinyume na viongozi wetu juu yetu, kwa kuleta juu yetu janga kubwa. Kwa kuwa chini ya mbingu yote haijawahi kufanyika kitu chochote ambacho kinaweza kulinganishwa na kile kilichofanyika huko Yerusalemu. \v 13 Kama ilivyoandikwa kwenye sheria ya Musa, baa hili lote limetupata, ingawa bado hatujaomba rehema kutoka kwa Yahweh Mungu wetu kwa kugeuka na kuacha maovu yetu na kuuzingatia ukweli wako. \v 14 Hivyo basi, Yahweh ameyaweka maaf tayari maafa na ameyaleta juu yetu, kwa kuwa Yahweh Mungu wetu ni mwenye haki katika matendo yote anayoyafanya, ingawa bado hatujaitii sauti yake. \ No newline at end of file +\v 12 Yahweh ameyathibitisha maneno ambayo aliyasema kinyume na sisi na kinyume na viongozi wetu juu yetu, kwa kuleta juu yetu janga kubwa. Kwa kuwa chini ya mbingu yote haijawahi kufanyika kitu chochote ambacho kinaweza kulinganishwa na kile kilichofanyika huko Yerusalemu. \v 13 Kama ilivyoandikwa kwenye sheria ya Musa, baa hili lote limetupata, ingawa bado hatujaomba rehema kutoka kwa Yahweh Mungu wetu kwa kugeuka na kuacha maovu yetu na kuuzingatia ukweli wako. \v 14 Hivyo basi, Yahweh ameyaweka maafa tayari na ameyaleta juu yetu, kwa kuwa Yahweh Mungu wetu ni mwenye haki katika matendo yote anayoyafanya, ingawa bado hatujaitii sauti yake. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index b710e9b..2067077 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -173,6 +173,8 @@ "09-03", "09-05", "09-07", - "09-09" + "09-09", + "09-12", + "09-15" ] } \ No newline at end of file