Thu Feb 02 2023 20:39:40 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-02 20:39:40 +03:00
parent e96a9a7a07
commit 369b41e344
3 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 13 Mabawa ya makerubi hawa yalienea jumla ya mikono ishirini. Makerubi yalisimama kwa miguu yake, na nyuso zao zikiuelekea ukumbi mkuu. \v 14 Akatengeneza pazia la samawati, dhambarau, na sufu nyekundu, na kitani safi, na akachora makerubi juu yake. Selemani pia akatengeneza nguzo mbili, kila moja ikiwa na urefu wa mikono thelathini na tano kwenda juu, kwa maana mbele ya nyumba; taji ambazo zilikuwa juu ya nguzo zilikuwa na urefu wa mikono mitano kwenda juu. Akatengeneza minyororo kwa ajili ya nguzo na akaiweka juu yake, pia akatengeneza maakomamanga mia moja na akayaunganisha kwenye minyororo. Akazisimamisha nguzo mbele ya hekalu, mkono wa kulia, na nyingine mkono wa kushoto; akaiita nguzo ya kulia Yakini, na nguzo ya kushoto akaiita Boazi.
\v 13 Mabawa ya makerubi hawa yalienea jumla ya mikono ishirini. Makerubi yalisimama kwa miguu yake, na nyuso zao zikiuelekea ukumbi mkuu. \v 14 Akatengeneza pazia la samawati, dhambarau, na sufu nyekundu, na kitani safi, na akachora makerubi juu yake.

View File

@ -1 +1 @@
Selemani pia akatengeneza nguzo mbili, kila moja ikiwa na urefu wa mikono thelathini na tano kwenda juu, kwa maana mbele ya nyumba; taji ambazo zilikuwa juu ya nguzo zilikuwa na urefu wa mikono mitano kwenda juu. Akatengeneza minyororo kwa ajili ya nguzo na akaiweka juu yake, pia akatengeneza maakomamanga mia moja na akayaunganisha kwenye minyororo. Akazisimamisha nguzo mbele ya hekalu, mkono wa kulia, na nyingine mkono wa kushoto; akaiita nguzo ya kulia Yakini, na nguzo ya kushoto akaiita Boazi.
\v 15 \v 16 \v 17 Sulemani pia akatengeneza nguzo mbili, kila moja ikiwa na urefu wa mikono thelathini na tano kwenda juu, kwa maana mbele ya nyumba; taji ambazo zilikuwa juu ya nguzo zilikuwa na urefu wa mikono mitano kwenda juu. Akatengeneza minyororo kwa ajili ya nguzo na akaiweka juu yake, pia akatengeneza maakomamanga mia moja na akayaunganisha kwenye minyororo. Akazisimamisha nguzo mbele ya hekalu, mkono wa kulia, na nyingine mkono wa kushoto; akaiita nguzo ya kulia Yakini, na nguzo ya kushoto akaiita Boazi.

View File

@ -58,6 +58,7 @@
"03-06",
"03-08",
"03-10",
"03-13",
"33-title",
"33-01",
"33-04",