sw_1co_text_ulb/15/15.txt

1 line
293 B
Plaintext

\v 15 Na tumepatikana kuwa mashahidi wa uongo kumuhusu Mungu, kwa sababu tulimshushuhudia Mungu kinyume, kusema alimfufua Kristo, wakati hakumfufua. \v 16 Kama ikiwa wafu hawafufuliwi, Yesu pia hakufufuliwa. \v 17 Na kama Kristo hakufufuliwa, imani yenu ni bure na bado mko kwenye dhambi zenu.