sw_1co_text_ulb/14/34.txt

1 line
360 B
Plaintext

\v 34 imewapasa wanawake wakae kimya katika kanisa. Kwa kuwa hawaruhusiwi kuzungumza. Badala yake, wanapaswa kuwa katika unyenyekevu, kama pia sheria inavyosema. \v 35 Kama kuna chochote wanatamani kujifunza, basi wawaulize waume zao nyumbani. Kwa kuwa ni aibu kwa mwanamke kuongea katika kanisa. \v 36 Je neno la Mungu lilitoka kwenu? Je limewafikia ninyi tu?