sw_1co_text_ulb/10/07.txt

1 line
278 B
Plaintext

\v 7 Msiwe waabudu sanamu, kama wengi wao walivyokuwa. Hii ni kama ilivyoandikwa, "Watu walikaa chini wakila na kunywa, na waliinuka kucheza kwa tamaa za mapenzi." \v 8 Tusifanye uasherati kama wengi wao walivyofanya. Wakafa siku moja watu ishirini na tatu elfu kwa sababu hiyo.