\c 49 \v 1 Sikieni hili, ninyi watu wote; tegeni masikio, ninyi wenyeji wa dunia, \v 2 wote walio chini na walio juu, tajiri na maskini wote pamoja.