\v 12 Tembeeni katika Mlima Sayuni, muuzungukie mji. \v 13 Mzitazame kwa makini nguzo zake, na mtazame majumba yake ya kifahari ili kwamba muweze kuwasimulia kizazi kijacho.