sw_psa_text_ulb/48/07.txt

1 line
193 B
Plaintext

\v 7 Kwa upepo wa mashariki wewe huivunja meli ya Tarshishi. \v 8 Kama tulivyo sikia, vivyo hivyo tumeona katika mji wa Yahweh wa majeshi, katika mji wa Mungu wetu; Mungu atautunza milele. Sela