\v 4 Maana, tazama, wafalme walikusanyika wenyewe; wote pamoja walipita. \v 5 Nao waliuona, wakashangaa; walifadhaika, na wakaharakisha kuondoka. \v 6 Pale pale tetemeko liliwashikilia, maumivu makali kama mwanamke anaye zaa.