sw_psa_text_ulb/13/01.txt

1 line
219 B
Plaintext

\c 13 \v 1 Mpaka lini, Yahwe, utaendelea kunisahau? Ni kwa muda gani utauficha uso wako nisiuone? \v 2 Ni kwa muda gani nitalazimika kuhofu na kuhuzunika moyoni mwangu kila siku? Ni kwa muda gani adui zangu watanishida?