\v 37 Aliwatoa nje Waisraeli wakiwa na fedha na dhahabu; hakuna mmoja wa kabila lake aliyejikwaa njiani. \v 38 Misri ilifurahi walipoondoka, maana Wamisri waliwaogopa. \v 39 Alitandaza wingu liwafunike na alifanya moto uwaangazie wakati wa usiku.