|
\c 105 \v 1 Mshukuruni Yahwe, liitieni jina lake; myafanye matendo yake yajulikane kati ya mataifa. \v 2 Mwimbieni yeye, mwimbieni sifa yeye; semeni matendo yake yote ya ajau. \v 3 Mjivune katika utakatifu wa jina lake; moyo wao wamtafutao Yahwe ufurahi. |