\c 120 Wimbo wa kwenda hekaluni kuabudu. \v 1 Katika dhiki yangu nilimuita Yahwe, naye akanijibu. \v 2 Uiokoe nasfi yangu, yahwe, dhidi ya wale wadanganyao kwa midomo yao na wanenao hila kwa ndimi zao.