\v 89 Yahwe, neno lako linasimama milele; neno lako limefanywa imara mbinguni. \v 90 Uaminifu wako wadumu kwa ajili ya vizazi vyote; umeiimarisha nchi, nayo inadumu.