\v 85 Wenye kiburi wamenichimbia shimo, wasiotii sheria yako. \v 86 Amri zako zote ni za kuaminika; wale watu walinitesa bila ya haki; unisaidie.