sw_psa_text_ulb/119/81.txt

1 line
172 B
Plaintext

\v 81 Ninazimia kwa kutamani sana kuwa wewe unaweza kuniokoa! Ninamatumaini katika neno lako. \v 82 Macho yangu yanatamani sana kuiona ahadi yako; ni lini utanifariji mimi?