\v 79 Wale wote wanao kucha wewe na wanigeukie, wale wazijuao amri za agano lako. \v 80 Moyo wangu uwe mkamilifu pamoja na heshima kwa sheria zako ili nisiaibike. KAPH.