\v 75 Ninajua, Yahwe, kuwa amri zako ni za haki, na kuwa katika uaminifu ulinitesa. \v 76 Agano lako aminifu na linifariji, kama ulivyomwahidi mtumishi wako.