\v 71 Ni vizuri kwangu kuwa nimeteseka ili niweze kujifunza sheria zako. \v 72 Maagizo yatokayo kinywani mwako ni ya thamani zaidi kwangu kuliko maelfu ya vipande vya dhahabu na fedha. YOD.