\v 57 Yahwe ni sehemu yangu; nimeamua kuyatii maneno yake. \v 58 Kwa bidii ninaomba neema yako kwa moyo wangu wote; unihurumie, kama neno lako lilivyo ahidi.