\v 45 Nitaenenda salama, maana ninayatafuta maagizo yako. \v 46 Nitazinena amri zako thabiti mbele ya wafalme nami sitaaibika.