sw_psa_text_ulb/119/29.txt

1 line
165 B
Plaintext

\v 29 Uiondoe kwangu njia ya udanganyifu; kwa wema wako unifundishe sheria yako. \v 30 Nimechagua njia ya uaminifu; siku zote nimeweka amri za haki yako mbele yangu.