\v 27 Unifahamishe njia ya maagizo yako, ili niweze kutafakari juu ya mafundisho yako ya ajabu. \v 28 Nimelemewa na huzuni! Nitie nguvu kwa neno lako.