\v 21 Wewe huwakemea wenye kiburi, waliolaaniwa, wanao tanga-tanga mbali na amri zako. \v 22 Uniokoe dhidi ya aibu na udhalilishaji, maana nimezitii amri za agano lako.