\v 169 Sikia kilio changu, Yahwe; unipe uelewa wa neno lako. \v 170 Maombi yangu yaje mbele zako; unisaidie, kama ulivyoahidi katika neno lako.