sw_psa_text_ulb/119/157.txt

1 line
168 B
Plaintext

\v 157 Watesi wangu na adui zangu ni wengi, lakini bado sijaenda mbali na amri za agano lako. \v 158 Nimewaona wasaliti wakitia kinyaa kwa sababu hawalishiki neno lako.