\v 155 Wokovu uko mbali na waovu, maana hawazipendi amri zako. \v 156 Matendo yako ya huruma ni makuu, Yahwe; uniweke hai; kama ufanyavyo siku zote.