\v 147 NInaamka asubuhi kabla jua halijachomoza na kulia kwa ajili ya msaada. \v 148 Ninatumaini katika maneno yako. Macho yangu yako wazi usiku kucha ili niweze kutafakari juu ya neno lako.