\v 141 Sina umuhimu na ninadharauliwa, lakini bado siyasahau maagizo yako. \v 142 Hukumu yako ni ya haki milele, na sheria yako ni ya kuaminika.